Mi napaa
pia nazidi kun'gaa
bali na shangaaa
kwani mwasema ni chang'aa
mi kichwa mang'aa
wengi busaa
inayon'letea balaa
but mi n'ko masaa
kuhustle mitaani
n'kitafuta pesaa
si madaha
hata ukipenda mwulize sarah
yuaamini sina hasara
na natumia busaraha
for me nazidi kuwachekelea kwa furaha
mi natenda wema
naenda zangu, mwazidi kuhemahema
mwashindwa kuamka mapema
wakati uohuo n'sha maliza dema
mmesifiwa ka wagema
mkalemewa kutenda mambo yenu vyema
mi ka chanda chema
navishwa pete njema
'do nakwambia
mi staki madharau
hata ka we ni karau
au nyang'ao
coz nitakuknock dafrau
ama ni 'ju ulikula pilau
ukafuatanisha zambarau
akili yako ikaknock ka ya pharaoh..
annnnnkkk...uuuuu
MCHEZO MBALI
Sunday, January 22, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
My Love,
My Love, I know that life can be tough, And bring you down when things get rough. But I want you to know, my dear, That you are strong and y...
-
My mother, my first girlfriend my phone ,my other ghost an angel who kills the silence and surpasses the ambulance noises and...
-
Take my breath away I beg now and so now Please don't postpone further Life remains an unanswerable puzzle Enough with the tuss...
-
Words can heal a speared heart Words can initiate civil war Words can rectify mistakes Words can propagate chauvinism Words ca...
No comments:
Post a Comment
Be Blessed