Wataka vya bwerere
na bado una kelele
wazidi kuwa na mapepe
ju ya hizo veve
ukweli wa mambo umekuwa debe
pang'ang'a kwa mtaa ka kiwewe
wewe wewe n'kikushika hizo nywele
nitazibomoa polepole ka mr.kobe
kaa ritho kaa chonjo mi huyo naja ka mende
mdomo ukiwa wazi ka mtu anayespread uwele
kuwa mjanja
wacha mang'aa
ju mambo ni kangaja
huenda yakaja
usipochunga utaanza kula nyasi
na utaijutia coz dunia itakuchapa pasi
wacha wasiwasi
nakweleza waziwazi
hata uwe mhasi
wacha matusi na natashi
mi sina kisasi
nina uwazi
infact wacha upuzi
we si kigugumizi
na unao ujuzi hata ka ni wa kukunia nazi
na u watii wazazi
wauguzi wa visasi
na vizazi
Monday, January 23, 2012
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
My Love,
My Love, I know that life can be tough, And bring you down when things get rough. But I want you to know, my dear, That you are strong and y...
-
My mother, my first girlfriend my phone ,my other ghost an angel who kills the silence and surpasses the ambulance noises and...
-
Take my breath away I beg now and so now Please don't postpone further Life remains an unanswerable puzzle Enough with the tuss...
-
Words can heal a speared heart Words can initiate civil war Words can rectify mistakes Words can propagate chauvinism Words ca...
No comments:
Post a Comment
Be Blessed