Sikiza kwa makini
nikweleze upate kiini
ukimwi ni ugonjwa
unaosambambisha ukosefu wa kinga mwilini
natangazia ,<><><>angazia
kila mtu,kote duniani
wakumbwa kwa wadogo
maskini na matajiri
waumini na hata wasioamini
wajue ni disaster inayotupunguza kimpango
duniani haichangui wala haibangui
ni 'si wenyewe twaitafuta gizani
cha kushangaza twaisambaza ka rumours mitaani
si utani lakini hebu chunga usije lia maishani...
hey you ma brother hey you my sister
beware of the obvious disaster*2
hey my pastor hey you reverend
..................................................
hey you my gangsters hey you artists
.....................................................
back to the point n point to note
ukimwi ni slave na hauna shape
nami nakuadvice uwe safe
hata ka we ni naive seal na chill
na uwe brave na ukiona hiyo wave
on your way ..please i wave
ju hata ka uko kwa underground cave
inaweza kukupeleka kwa grave
There is a lot of pain
but lets abstain
na tuform life campaign
everywhere hata kwa plains
tuwafikie hata insane
moreover tuwasustain
lakini cha muhimu everybody abstain