Kama kawa imefika Friday rush hour
nami huyo in the shower
naharakisha kwani ni eleventh hour
na nimezoea kugawa
mistari tamu mpaka mafans wamejaa in the tower
kushuudia hiki kipawa
cha kutema mistari
ka mtu alliye kula madawa
sawa sawa
nafika kwa stage
na kuanza kuangusha mahewa
madem nao wanashout pewa pewa
hey gift lewalewa
nazusha kwani niko high ka air
pia nataka kuwapanga in pair
even if una fair
mi nashika my dear
shore ananishika in the chair.
.na ana'mbia
hey you my dear
confirm ka everything is clear
naanza hii verse ka kila mtu anafurahia
... chuuumm
don't miss a kiss
kiss a miss
aha kwani ni strong mp-aka akahiss
lo... na imekuwa worse
dem amekuwa loose
namdaradara mpaka kwa shoes
Wooiye... amefaint as though anadoze
ka daktari namshika shika nose
na kumpa hiyo dose
afta that npanda juu ya horse
maramoja marambili n jipata ndani ya house
naitembelea na kuiservice mpaka naskia kubounce
now the game is over
like passover
nafangilia na kutulia
wale naughty wanazidi kucrosssover
Monday, January 30, 2012
Monday, January 23, 2012
prestibulous rhetorics: MUI
prestibulous rhetorics: MUI: Sikiza kwa makini nikweleze upate kiini ukimwi ni ugonjwa unaosambambisha ukosefu wa kinga mwilini natangazia ,<><><>angazia kila mtu...
C'JUI KWANINI
hey you ma lady
you make me go crazy
hata kwa job nimeaza ushenzi
nimekuwa lazy
kutenda mambo vyema siwezi
hata kati kati ya mwezi
sina schedule ni ka wezi
indeed i sold my MC .BENZ
tuwepamoja katika hii DANCE
simniadvice enyi wapenzi
ni yaache mapenzi
ama my babe
shore umbo lako lanisumbua usiku kucha
napiga picha ulivyo umbika hata makucha
hadi napiga duru usiku kucha
hadi maneighbours wanazusha .
maborder wanazivuka
kuingilia nawaambia wasishangae
washangilie na tupatane baadaye.
you make me go crazy
hata kwa job nimeaza ushenzi
nimekuwa lazy
kutenda mambo vyema siwezi
hata kati kati ya mwezi
sina schedule ni ka wezi
indeed i sold my MC .BENZ
tuwepamoja katika hii DANCE
simniadvice enyi wapenzi
ni yaache mapenzi
ama my babe
shore umbo lako lanisumbua usiku kucha
napiga picha ulivyo umbika hata makucha
hadi napiga duru usiku kucha
hadi maneighbours wanazusha .
maborder wanazivuka
kuingilia nawaambia wasishangae
washangilie na tupatane baadaye.
MNYWA DAMU
am a spotlight
in the night
natoa mwangaza bright
kuliko sunlight
na detect manuisance
nonsense ka dendrite
kuziturn from black
back to white
of course na kuzihighlight
yeahyeah
mheshimu mjinga
uepuke uninja
coz utafunzwa kupiga binja
ukitumia mrinja
but nina kinga
thats why
nashika nzamu
nakupa nidhamu
ju huna adabu
na we nibabu
babu wa mababu
na huna sababu
ya kutenda kiyendo cha aibu
kuwanalinga watoi waraabu
everywhere hata lamu
tutaakikisha hutaishi kwa ugumu
duniani humu humu
ama labda ule tungumu
na ufuatanishe na sumu
twelewa kuwa mwanadamu
ni mnyama mnywa damu
aweza kukugeuza ng'ombe aaze kukukama
na tukilegea atutegenezee njama
upate in all the vyama huna usalama
moreover akupeleke mahakama
aakikishe mmekula kiama
mtegane ka obama na osama
in the night
natoa mwangaza bright
kuliko sunlight
na detect manuisance
nonsense ka dendrite
kuziturn from black
back to white
of course na kuzihighlight
yeahyeah
mheshimu mjinga
uepuke uninja
coz utafunzwa kupiga binja
ukitumia mrinja
but nina kinga
thats why
nashika nzamu
nakupa nidhamu
ju huna adabu
na we nibabu
babu wa mababu
na huna sababu
ya kutenda kiyendo cha aibu
kuwanalinga watoi waraabu
everywhere hata lamu
tutaakikisha hutaishi kwa ugumu
duniani humu humu
ama labda ule tungumu
na ufuatanishe na sumu
twelewa kuwa mwanadamu
ni mnyama mnywa damu
aweza kukugeuza ng'ombe aaze kukukama
na tukilegea atutegenezee njama
upate in all the vyama huna usalama
moreover akupeleke mahakama
aakikishe mmekula kiama
mtegane ka obama na osama
NG'ANG'ANA
Wataka vya bwerere
na bado una kelele
wazidi kuwa na mapepe
ju ya hizo veve
ukweli wa mambo umekuwa debe
pang'ang'a kwa mtaa ka kiwewe
wewe wewe n'kikushika hizo nywele
nitazibomoa polepole ka mr.kobe
kaa ritho kaa chonjo mi huyo naja ka mende
mdomo ukiwa wazi ka mtu anayespread uwele
kuwa mjanja
wacha mang'aa
ju mambo ni kangaja
huenda yakaja
usipochunga utaanza kula nyasi
na utaijutia coz dunia itakuchapa pasi
wacha wasiwasi
nakweleza waziwazi
hata uwe mhasi
wacha matusi na natashi
mi sina kisasi
nina uwazi
infact wacha upuzi
we si kigugumizi
na unao ujuzi hata ka ni wa kukunia nazi
na u watii wazazi
wauguzi wa visasi
na vizazi
na bado una kelele
wazidi kuwa na mapepe
ju ya hizo veve
ukweli wa mambo umekuwa debe
pang'ang'a kwa mtaa ka kiwewe
wewe wewe n'kikushika hizo nywele
nitazibomoa polepole ka mr.kobe
kaa ritho kaa chonjo mi huyo naja ka mende
mdomo ukiwa wazi ka mtu anayespread uwele
kuwa mjanja
wacha mang'aa
ju mambo ni kangaja
huenda yakaja
usipochunga utaanza kula nyasi
na utaijutia coz dunia itakuchapa pasi
wacha wasiwasi
nakweleza waziwazi
hata uwe mhasi
wacha matusi na natashi
mi sina kisasi
nina uwazi
infact wacha upuzi
we si kigugumizi
na unao ujuzi hata ka ni wa kukunia nazi
na u watii wazazi
wauguzi wa visasi
na vizazi
Sunday, January 22, 2012
NISHAOTA
mi ninayo ndoto
yakuvunjavunja pingu za msoto
nianglie kushoto
kulia nione usongo
kusota nikupe kisogo
nikuangamize na ngoto...
nikusambaratishe ka kiroboto
na niitupilie kwa moto
yakuvunjavunja pingu za msoto
nianglie kushoto
kulia nione usongo
kusota nikupe kisogo
nikuangamize na ngoto...
nikusambaratishe ka kiroboto
na niitupilie kwa moto
MUI
Sikiza kwa makini
nikweleze upate kiini
ukimwi ni ugonjwa
unaosambambisha ukosefu wa kinga mwilini
natangazia ,<><><>angazia
kila mtu,kote duniani
wakumbwa kwa wadogo
maskini na matajiri
waumini na hata wasioamini
wajue ni disaster inayotupunguza kimpango
duniani haichangui wala haibangui
ni 'si wenyewe twaitafuta gizani
cha kushangaza twaisambaza ka rumours mitaani
si utani lakini hebu chunga usije lia maishani...
hey you ma brother hey you my sister
beware of the obvious disaster*2
hey my pastor hey you reverend
..................................................
hey you my gangsters hey you artists
.....................................................
back to the point n point to note
ukimwi ni slave na hauna shape
nami nakuadvice uwe safe
hata ka we ni naive seal na chill
na uwe brave na ukiona hiyo wave
on your way ..please i wave
ju hata ka uko kwa underground cave
inaweza kukupeleka kwa grave
There is a lot of pain
but lets abstain
na tuform life campaign
everywhere hata kwa plains
tuwafikie hata insane
moreover tuwasustain
lakini cha muhimu everybody abstain
nikweleze upate kiini
ukimwi ni ugonjwa
unaosambambisha ukosefu wa kinga mwilini
natangazia ,<><><>angazia
kila mtu,kote duniani
wakumbwa kwa wadogo
maskini na matajiri
waumini na hata wasioamini
wajue ni disaster inayotupunguza kimpango
duniani haichangui wala haibangui
ni 'si wenyewe twaitafuta gizani
cha kushangaza twaisambaza ka rumours mitaani
si utani lakini hebu chunga usije lia maishani...
hey you ma brother hey you my sister
beware of the obvious disaster*2
hey my pastor hey you reverend
..................................................
hey you my gangsters hey you artists
.....................................................
back to the point n point to note
ukimwi ni slave na hauna shape
nami nakuadvice uwe safe
hata ka we ni naive seal na chill
na uwe brave na ukiona hiyo wave
on your way ..please i wave
ju hata ka uko kwa underground cave
inaweza kukupeleka kwa grave
There is a lot of pain
but lets abstain
na tuform life campaign
everywhere hata kwa plains
tuwafikie hata insane
moreover tuwasustain
lakini cha muhimu everybody abstain
wanijuaje?
Mi napaa
pia nazidi kun'gaa
bali na shangaaa
kwani mwasema ni chang'aa
mi kichwa mang'aa
wengi busaa
inayon'letea balaa
but mi n'ko masaa
kuhustle mitaani
n'kitafuta pesaa
si madaha
hata ukipenda mwulize sarah
yuaamini sina hasara
na natumia busaraha
for me nazidi kuwachekelea kwa furaha
mi natenda wema
naenda zangu, mwazidi kuhemahema
mwashindwa kuamka mapema
wakati uohuo n'sha maliza dema
mmesifiwa ka wagema
mkalemewa kutenda mambo yenu vyema
mi ka chanda chema
navishwa pete njema
'do nakwambia
mi staki madharau
hata ka we ni karau
au nyang'ao
coz nitakuknock dafrau
ama ni 'ju ulikula pilau
ukafuatanisha zambarau
akili yako ikaknock ka ya pharaoh..
annnnnkkk...uuuuu
MCHEZO MBALI
pia nazidi kun'gaa
bali na shangaaa
kwani mwasema ni chang'aa
mi kichwa mang'aa
wengi busaa
inayon'letea balaa
but mi n'ko masaa
kuhustle mitaani
n'kitafuta pesaa
si madaha
hata ukipenda mwulize sarah
yuaamini sina hasara
na natumia busaraha
for me nazidi kuwachekelea kwa furaha
mi natenda wema
naenda zangu, mwazidi kuhemahema
mwashindwa kuamka mapema
wakati uohuo n'sha maliza dema
mmesifiwa ka wagema
mkalemewa kutenda mambo yenu vyema
mi ka chanda chema
navishwa pete njema
'do nakwambia
mi staki madharau
hata ka we ni karau
au nyang'ao
coz nitakuknock dafrau
ama ni 'ju ulikula pilau
ukafuatanisha zambarau
akili yako ikaknock ka ya pharaoh..
annnnnkkk...uuuuu
MCHEZO MBALI
HATAAAAAAAAAAA
mi hapana takataka
hii takataka
nilitapatapa
nikapatapata
siri ya hii karata
nikaikamata
nikaisata
nikaipakata
nikaidatadata
nikacollect data
si kuata HATA
hii takataka
nilitapatapa
nikapatapata
siri ya hii karata
nikaikamata
nikaisata
nikaipakata
nikaidatadata
nikacollect data
si kuata HATA
Subscribe to:
Posts (Atom)
My Love,
My Love, I know that life can be tough, And bring you down when things get rough. But I want you to know, my dear, That you are strong and y...
-
My mother, my first girlfriend my phone ,my other ghost an angel who kills the silence and surpasses the ambulance noises and...
-
Take my breath away I beg now and so now Please don't postpone further Life remains an unanswerable puzzle Enough with the tuss...
-
Words can heal a speared heart Words can initiate civil war Words can rectify mistakes Words can propagate chauvinism Words ca...