Saturday, February 6, 2016

Papasa pasi

Kinaya cha maneno haya
Chanitia haya tena mbaya
Kizungumkuti ulaya, moto waya

Chozi la ukombozi
Uchungu Wa hio rungu
Mauvimu yasiyoshamiri  wivu

Kaenda tenzi, omo bwaga ushezi
Mapenzi yakawa shubiri
Subira katwikwa ubikira.

Waumiza kwa hari
Kejeli kawa lao, kila la heri
Meli katwikwa naga la ukweli.

Dawa ya moto kawa baridi
Ndoto zikazuzua uwaridi
Sirudi kasalia bado kejeli redi.

Sawasawa kakua dawa
Madaha kazidi kuhadaa
Kiburi kakomelea kuvuli.

No comments:

Post a Comment

Be Blessed

My Love,

My Love, I know that life can be tough, And bring you down when things get rough. But I want you to know, my dear, That you are strong and y...